Gurudumu la Uchumi

IDADI YA VIJANA WASIO NA AJIRA KUONGEZEKA

Sauti 10:02

Shirika la Kazi Duniani ILO limetoa ripoti yake imetoa ripoti inayoashiria kuwa idadi ya vijana wasio na ajira duniani itaongezeka. Makala haya yanaangazia ripoti hiyo kwa mtazamo wa Bara la Afrika.