Jua Haki Zako

Visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Ujerumani

Sauti 09:32

Makala ya wiki hii yanaangazia kuhasi watuhumiwa wa ubakaji nchini Ujerumani.Karume Asangama anasimulia zaidi.