Habari RFI-Ki

Ukosefu wa usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia

Sauti 09:51

Mapambano bado yanaendelea kushuhudiwa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya wanajeshi wa serikali na waasi wa M 23, huku Umoja wa Mataifa ukitoa ripoti inayotuhumu Rwanda kuwafadhili waasi hao.Reuben Lukumbuka kwa mengi zaidi katika makala ya Habari Rafiki.