Mjadala wa Wiki

Machafuko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Sauti 12:26

Mjadala wa wiki juma hili unaangazia ripoti ya Umoja wa Mataifa kuwa Rwanda inawapa silaha waasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupambana na majeshi ya serikali.Ungana na Emmanuel Makundi akizungumza na Abdala Majura mchambuzi wa siasa za kimataifa na mhadhiri wa diplomasia kutoka Dar es salaam Tanzania na Brian Wanyama mhadhiri wa utatuzi wa mizozo kutoka Chuo Kikuu cha Masinde Muliro nchini Kenya.