Wimbi la Siasa

Mauji ya hivi karibuni nchini Syria

Sauti 22:48

Makala ya wimbi la siasa wiki hii yanaangazia mauji ya zaidi ya watu 100 nchini Syria.Je mpango wa amani wa Koffi Annan umetupiliwa mbali?Ungana na Victor Robert Wile kwa mengi zaidi.