Gurudumu la Uchumi

Wakala wa Bima ya Biashara Barani Afrika-ATI

Sauti 09:58
ATI

Mtangazaji wa makala haya juma hili amezungumza na wawakilishi wa shirika la Bima ya Biashara Barani Afrika ambao wanajihusisha na utoaji wa bima kwa wawekezaji wa ndani na wanje na hata wafanyabiashara wadogo na wakati katika ulinzi wa biashara zao.Emmanuel Makundi amezungumza na mwakilishi wa shirika hilo nchini Tanzania Albert Rweyemamu kutaka kufahamu undani wa shughuli za shirika hili ambapo pia waweza tembelea tovuti yao ya www.ati-aca.org au kwa barua pepe albert.rweyemamu@ati-aca.org.