Wimbi la Siasa

Mchakato wa katiba mpya ya Tanzania

Sauti 09:54
RFI

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia zoezi la mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya nchini Tanzania, ambapo tayari tume maalumu ya kukusanya maoni iliyoundwa na rais imeanza kufanya kazi yake.