Habari RFI-Ki

Hukumu ya kifo bado ni changamoto kubwa

Sauti 09:56
RFI

Sheria inayotoa hukumu ya kunyongwa mpaka kufa imekua ikizipa changamoto mbalimbali nchi ambazo zinateitekeleza kwa kuwa hivi sasa kuna mabadiliko makubwa ya duniani na hivyo sheria hiyo kuonekana kama kwamba imepitwa na wakati. Je mambo gani yanaibuka wakati dunia kuadhimisha siku ya hukumu ya kifo kila Oktoba 10. Makala ya Habari Rafiki inaangazia suala hilo kwa undani.