Gurudumu la Uchumi

Ripoti ya uchumi wa Dunia yatolewa

Sauti 09:37
REUTERS/Jonathan Ernst

Dunia hivi sasa inakabiliwa na hali ngumu ya uchumi kutokana na kuyumba kwa uchumi katika nchi za Ulaya. Benki ya Dunia, WB hivi karibuni ilitoa ripoti mpya ya uchumi wa Dunia. Je katika ripoti hiyo kuna mapya ambayo yameibuka? Fuatilia kwa kina makala haya ya Gurudumu la Uchumi.