Gurudumu la Uchumi

Usawa wa kijinsia katika shughuli za kiuchumi na maendeleo

Sauti 09:51

Makala haya juma hili yanaangazia ripoti ya taasisi ya uchumi duniani kuhusu usawa wa kijinsia ulivyo kwa sasa katika upatikanaji wa ajira na shughuli mbalimbali katika kukuza uchumi.Emmanuel Richard Makundi anakupasha mengi.Fuatana naye.