Mjadala wa Wiki

Majeshi ya Ufaransa yaendeleza mapambano kaskazini mwa Mali

Sauti 12:53
Askari wa Ufaransa akipiga doria kaskazini mwa Mali
Askari wa Ufaransa akipiga doria kaskazini mwa Mali Reuters/路透社

Mjadala wa wiki Juma hili tunajadili kuhusu hatuwa ya serikali ya Ufaransa kuendeleza mapigano dhidi ya wanamgambo wa makundi ya kiislam kaskazini mwa Mali ambapo rais wa Ufaransa amezuru nchini Mali kushuhudia hali ya mambo.