Gurudumu la Uchumi

Mkutano wa EU kuhusu Badgeti ya Umoja huo

Sauti 09:43
Viongozi wa EU katiak moja ya mikutano yao
Viongozi wa EU katiak moja ya mikutano yao

Gurudumu la ucuhumi juma hili tunazungumzia kuhusu mkutano wa Umoja wa Ulaya wa kujadili Badgeti ya ya Umoja hu ya mwaka 2014-2020 na matokeo yake kwa nchi a bara la Afrika.