Mdahalo wa kwanza wa wagombea wa urais nchini Kenya ulifanyika siku ya Jumatatu huku wagombea wote wanane wakijitetea mbele ya wakenya kabla ya uchaguzi Mkuu wa tarehe 4 mwezi ujao.Wakenya wanazungumzia vipi mdahalo huo?Ungana na Reuben Lukumbuka kwa mengi zaidi