Gurudumu la Uchumi

Biashara na utalii nchini Tanzania

Imechapishwa:

Vivutio vya Utalii nchini Tanzania vimeorodheswa kuwa bora na kujumuishwa katika maajabu saba  ya vituo asili barani Afrika.Je hii inaweza kuinua uchumi wa Tanzania ?Ungana na Emmanuel Makundi katika kipindi cha wiki hii  cha Gurudumu la Uchumi

Vipindi vingine