Mjadala wa Wiki

Kujiuzulu kwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Benedicto wa 16

Imechapishwa:

Hatua ya kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Benedicto wa 16 kujiuzulu tarehe 28 mwezi huu kwa kile alichokisema kuwa ni kutokana na ukosefu wa nguvu na umri mkubwa wa kuendelea kuhudumu kumewashangaza wauminu wa Kanisa hilo duniani.Ali Bilal anajadili  uamuzi huu wa Papa  katika Mjadala wa Wiki juma hili.

Vipindi vingine