Habari RFI-Ki

Siku ya Redio duniani

Sauti 09:54
Reuters

Kipindi cha Habari Rafiki kinajadili siku ya Redio duniani.Je,unafahamu umuhimu wa redio katika maisha yako ya kila siku?Ungana na Reuben Lukumbuka kwa mengi zaidi