Makala ya Wimbi la Siasa juma hili yanaangazia mdahalo wa wagombea urais nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 4 mwezi wa Machi.Je mdahalo huo ulibadilisha mawazo ya wakenya kuhusu ni nani watakayemchagua?Ungana na Victor Robert Wile kwa mengi zaidi
Vipindi vingine
-
Wimbi la Siasa Hatima ya mswada wa fedha nchini Kenya Kwanini mswada wa fedha unazua gumzo na mjadala nchini Kenya ? Tunajadili hili kwenye Makala ya Wimbi la Siasa07/06/2023 10:02
-
Wimbi la Siasa Hali inavyoendelea nchini Sudan Makala ya wiki hii yanaangazia hali inavyoendelea nchini Sudan wakati huu kukiwepo na mkataba wa kusitisha mapigano24/05/2023 09:50
-
Wimbi la Siasa Kukutana kwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga na rais Ruto kwenye hafla ya hadhara Hii ni baada ya rais Ruto na Odinga mwishoni mwa wiki iliyopita, kuonekana hadharani pamoja, mwanzo katika mazishi ya mke wa mpiganiaji uhuru Dedan kimathi, Mukami Kimathi na baadaye katika mashindano ya riadha na mchezo wa soka Jumapili iliyopita.17/05/2023 09:59
-
Wimbi la Siasa SADC kutuma kikosi nchini DRC, Tshisekedi akosoa kikosi cha EAC Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amelishtumu jeshi la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kutofanya vya kutosha kudhibiti utovu wa usalama Mashariki mwa nchi yake.Mataifa ya Kusini mwa Afrika SADC, wamesema watatuma kikosi chake Mashariki mwa DRC, huku Umoja wa Mataifa ukita juhudi zaidi kusaidia kupatikana kwa amani. Tunachambua kwa kina.10/05/2023 10:17
-
Wimbi la Siasa Je serikali ya Kenya ianze kudhibiti makanisa Karibu katika makala wimbi la siasa. Tunaangazia swala la mhubiria Paul Mackenzie Nthenge ambaye aliwashawishi wafuasi wa kanisa lake wafunge bila kula ili wakutane na Mungu katika kijiji cha Shakahola karibu na mji wa Malindi, Pwani ya Kenya.27/04/2023 09:59