Habari RFI-Ki
Hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Imechapishwa:
Cheza - 09:54
Habari Rafiki Ijumaa hii inazungumzia hali ya ukosefu wa Usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na mazungumzo ya amani yanayoendelea jijini Kampala Uganda kati ya waasi wa M 23 na serikali ya Kinshasa.Ungana na Reuben Lukumbuka kwa mengi zaidi