Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii

Sauti 20:09

Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii yanaangazia hatua ya  kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Benedicto wa 16 kutangaza atajiuzulu kufikia mwisho mwa mwezi wa pili pamoja  na matukio mengine yaliyogonga vichwa vya habari wiki hii duniani na kupewa kipaumbele hapa RFI Kiswahili.Ungana na Ali Bilal kwa mengi zaidi