Katika makala haya utasikia habari kemkem ikiwa ni pamoja na kupatikana kwa kiongozi mpya wa kanisa katoliki duniani Papa Francis raia wa Argentina, kwa mengi zaidi fuatana na Ruben Lukumbuka.
Vipindi vingine
-
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii Watu 60 wauawa DRC, chanjo ya Malaria yaidhinishwa Ghana, nyaraka za siri za Marekani zavuja Kwenye makala haya, tutakayoangazia wiki hii ni pamoja na upinzani nchini Kenya kusema utaendelea na maandamano huku wafanyakazi wa umma wakikosa kulipwa, tutaangazia usalama nchini DRC na uchaguzi unaotarajiwa mwishoni mwa mwaka huu. Chad na Ujerumani kuwafukuza mabalozi wake, kadhalika kuvuja kwa nyaraka za siri nchini Marekani na Korea kaskazini kutishia usalama wa kikanda.15/04/2023 20:01
-
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii Maandamano ya upinzani nchini Kenya yashika kasi, Uganda yatuma wanajeshi wake DRC Kubwa katika makala hii ni kuhusu maandamano ya upinzani nchini Kenya, ziara ya makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris nchini Tanzania, wiki hii wanajeshi wa Uganda waliwasili kwenye mji wa Bunagana mashariki mwa DRC, lakini pia muswada wa sharia unaohusu uraia kwa mtu anayetakiwa kuwa kwenye wadhifa wa rais kuzua hisia mseto. Hukumu dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini Senegal; Ziara ya mfalme Charles wa 3 wa Uingereza huko Ujerumani, na mambo mengine...01/04/2023 20:07
-
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii Rais Tshisekedi awateua Bemba na Kamerhe kuwa Mawaziri Miongoni mwa yale utakayosikia, ni hatua ya rais wa DRC Felix Tshisekedi kumteua Jean Pierre Bemba kuwa Waziri mpya wa Ulinzi na Vital Kamerhe kuwa Waziri wa Uchumi, maandamano ya upinzani nchini Kenya na makabiliano ya waandamanaji na polisi nchini Ufaransa kupinga mageuzi ya mfumo wa pensheni.25/03/2023 20:12
-
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii Bunge la Angola laidhinisha kupelekwa kwa wanajeshi DRC, maandamano nchini Kenya Miakala hii imeangazia hatua ya bunge la Angola kuidhinisha kutumwa kwa wanajeshi 500 wa nchi hiyo mashariki mwa DRC, hali ya wasiwasi nchini Kenya, kufuatia wito wamaandamano kupinga ugumu wa maisha kama ulivyoitishwa na kinara wa upinzani wa Azimio Raila Odinga, watu zaidi ya 300 wauawa na kuwaacha maelfu bila makaazi katika kimbunga Freddy kule Malawi, kesi ya mwanasiasa wa upinzani Ousmane sonko kule Senegal, mvutano kuhusu suala la mageuzi ya pensheni nchini Ufaransa, ni miongoni mwa mengi utakayoyasikia.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kupata mengi zaidi.18/03/2023 20:14
-
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii Ebola yatangaza kumalizika kwa maambukizi ya Ebola Miongoni mwa yale tumekuandalia ni pamoja na mkutano wa waasi wa kundi la M23 na mpatanishi wa juluia ya Afrika mashariki, EAC rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta, Uganda wiki hii ilisema hakuna tena Ebola nchini, mvutano kati ya DRC na Rwanda kuhusu wakimbizi, waasi wa Tigray waanza kuutekeleza mkataba wa amani, Ufaransa tayari kuimarisha uhusiano wake na Burkina faso na waziri mkuu wa Ufaransa aweka wazi msimamo wa serikali yake kuhusu umri wa kustaafu14/01/2023 20:16