Habari RFI-Ki

Kiongozi wa makundi ya uasi nchini DR Congo Bosco Ntaganda kukimbilia Rwanda

Sauti 09:56

Habari Rafiki Jumatatu hii tunazungumza na wasikilizaji kuhusu  Bosco Ntaganda kiongozi wa makundi ya uasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo aliyekimbilia Rwanda.Ungana na Reuebn Lukumbuka kwa mengi zaidi