Jua Haki Zako

Watoto wa kike kuolewa kabla ya miaka 18

Sauti 09:07

Makala ya Jua Haki zako yanaangazia haki za wasichana wa shule wanaopata uja uzito kabla ya kufikisha miaka 18.Ungana na Karume Asangama kwa mengi zaidi