Habari RFI-Ki
Kujisalimisha kwa Bosco Ntaganda katika ubalozi wa Marekani nchini Rwanda
Imechapishwa:
Cheza - 09:56
Kiongozi wa makundi ya uasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Bosco Ntaganda amejisalimisha kwenye Ubalozi wa Marekani nchini Rwanda akitaka kupelekwa katika Mahakama ya Kimataifa ya ICC mjini Hague nchini Uholanzi.Ungana na Reuben Lukumbuka kusikia maoni ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.