Mjadala wa Wiki
Kujisalimisha kwa Bosco Ntaganda katika ubalozi wa Marekani nchini Rwanda
Imechapishwa:
Cheza - 11:52
Mjadala wa wiki juma hili yanajadili hatua ya kiongozi wa makundi ya uasi Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika Ubalozi wa Marekani nchini Rwanda. Ungana na Emmanuel Makundi kwa uchambuzi zaidi.