Wimbi la Siasa

Kujisalimisha kwa Bosco Ntaganda kwenye Ubalozi wa Marekani nchini Rwanda

Imechapishwa:

Makala ya Wimbi la Siasa wiki hii yanaangazia hatua ya kiongozi wa makundi ya uasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Bosco Ntaganda kujisalimisha kwenye Ubalozi wa Marekani nchini Rwanda kutaka kupelekwa katika Mahakama ya Kimataifa ya ICC mjini Hague nchini Uholanzi.Ungana na Victor Robert Wile kwa uchambuzi wa kina.

Vipindi vingine