Gurudumu la Uchumi

Ziara ya rais wa China Barani Afrika

Sauti 09:31
Rais wa China, Xi Jinping (Kushoto) akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete (Kulia)
Rais wa China, Xi Jinping (Kushoto) akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete (Kulia) REUTERS/Thomas Mukoya

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia ziara iliyofanywa nchini Tanzania na kwa nchi za Afrika na rais wa Uchina, Xi Jinping ambapo pamoja na mambo mengine imeshuhudiwa nchi ya Tanzania, Afrika Kusini na Congo Brazaville viongozi wao wakitiliana saini za mikataba ya kimaendeleo na nchi ya China ambayo imekuwa muwekezaji mkubwa kwa bra hili.