Wimbi la Siasa

Wito wa amani watolewa na kanisa katoliki Tanzania

Sauti 10:02
Kiongozi wa kanisa katoliki na askofu mkuu wa Jimbo la dar es salaam, Polycarp Kadinali Pengo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani
Kiongozi wa kanisa katoliki na askofu mkuu wa Jimbo la dar es salaam, Polycarp Kadinali Pengo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani Reuters

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia wito wa amani uliotolewa na kiongozi wa kanisa katoliki nchini Tanzania, Polikapu Kadinali Pengo ambaye ameitaka Serikali hasa Polisi kuhakikisha inatoa usalama kwa viongozi wa kanisa hilo visiwani Zanzibar kufuatia hivi karibuni kuuawa kwa mapadri wake.