Gurudumu la Uchumi

Mchango wa vyombo vya habari kwa ukuaji wa uchumi wa bara la Afrika

Sauti 09:58
Miongozni mwa waandishi wa habari barani Afrika
Miongozni mwa waandishi wa habari barani Afrika Reuters

Mtangazaji wa makala hii, juma hili ameangazia mchango wa waandishi wa habari katika kuandika habari za uchumi ambazo zinaweza kusaidia ukuwaji wa uchumi wa bara la Afrika kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.