Habari RFI-Ki

Kura ya kukosa imani na Waziri Mkuu wa DRC Matata Ponyo

Sauti 09:55

Wabunge nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanajadili mswada wa kukosa imani na Waziri Mkuu Augustine Matata Ponyo.Kipindi cha Habari Rafiki kinajadili  hatua hii ya wabunge.Ungana na Reuben Lukumbuka kwa mengi zaidi.