Afrika Ya Mashariki

Biashara katika bandari ya Banda nchini Burundi

Sauti 09:35

Makala ya wiki hii ya Afrika Mashariki yanaangazia awamu ya pili kuhusu biashara katika bandari ya Banda mjini Rumonge nchini Burundi na changamoto zinazowakabili wafanyibiashara hao.Ungana na Julian Rubavu kwa mengi zaidi.