Habari RFI-Ki

Tabia ya Wabunge nchini Tanzania kutumia lugha ya matusi

Sauti 09:44

Habari Rafiki leo hii tunajadili kuhusu tabia ya baadhi ya wabunge nchini Tanzania kutumia lugha ya matusi wanapokuwa bungeni.Ungana na Reuben Lukumbuka kwa mengi zaidi.