Mjadala wa Wiki

Harakati za kumaliza uasi Mashariki mwa DRC

Sauti 12:54

Wakati Umoja wa Mataifa unapojiandaa kupeleka jeshi Mashariki kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumenyana na makundi ya waasi na kuwapokonya silaha, serikali ya Rwanda inasema jeshi la UN halitasaidia kuleta amani katika eneo hilo na badala yake suluhu la kisiasa litumiwe.Ungana na Emmanuel Makundi kuchambua maoni haya ya Rwanda katika makala haya ya Mjadala wa wiki Jumatano hii.