Gurudumu la Uchumi

Tanzania yasema imekua kiuchumi

Sauti 09:47

Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amesema nchi hiyo  imekuwa kiuchumi katika siku za hivi karibuni.Je, ni kweli ? Emmanuel Makundi anachambua suala hili katika makala ya Gurudumu la uchumi.