Habari RFI-Ki

Wanawake Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waandamana kutaka jeshi la UN

Sauti 09:58

Wanawake Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Jumatano walijitokeza katika mitaa mbalimbali ya miji nchini humo kuandamana kushinikiza kuwasili haraka kwa wanajeshi wa Umoja wa Mataifa kukabiliana na waasi wa M 23.Karibu katika kipindi cha Habari Rafiki na Reuben Lukumbuka.