Habari RFI-Ki

Utozwaji mkubwa wa kodi za nyumba nchini Kenya

Sauti 09:55

Shirika la Kimataifa la Hass linaloshughulika na maisha ya kawaida ya watu linasema kuwa wapangaji wa nyumba nchini Kenya ndio wanaotozwa kodi kubwa ya nyumba.Reuben Lukumbuka anaangazia suala hili katika kipindi cha Habari Rafiki.