Wimbi la Siasa

Waasi wa M 23 watishia kuyashambulia wanajeshi wa Umoja wa Mataifa

Sauti 09:52

Wimbi la siasa wiki hii linaangazia jeshi la Umoja wa Mataifa linatotarajiwa kutumwa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kukabiliana na waasi wa M 23 na hatua ya waasi hao kutishia kuyashambulia majeshi hayo.Ungana na Victor Robert Wile kwa uchambuzi wa kina.