Habari RFI-Ki

Serikali mpya ya Kenya na usalama

Sauti 09:56
Residentes transportan a una víctima del atentado suicida en las calles de Mogadiscio, el 4 de octubre de 2011.
Residentes transportan a una víctima del atentado suicida en las calles de Mogadiscio, el 4 de octubre de 2011.

Serikali mpya ya Kenya chini ya uongozi wa rais Uhuru Kenyatta imepata pigo la kwanza baada ya watu wasiojulikana kuwapiga risasi watu 10 mjini Garrisa karibu na Somalia walipokuwa Mkahawani.Hili ndilo suala tunazojadili katika kipindi hiki cha Habari Rafiki Ijumaa hii.