Gurudumu la Uchumi
Mkutano wa kimataifa wa kiuchumi Afrika Kusini na yale yaliyoazimiwa na viongozi
Imechapishwa:
Cheza - 10:00
Mtangazaji wa makala hii, juma hili ameangazia mkutano wa kimataifa wa uchumi wa World Economic Forum uliofanyika nchini Afrika Kusini ambapo viongozi wa bara hilo walikubaliana kuhusu kutungwa kwa sheria zinazolinda nishati za kuzalisha umeme kwa nchi wanachama.