Gurudumu la Uchumi

Changamoto za kiuchumi barani Afrika wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia kumalizika kwa mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika AU mjini Addis Ababa, Ethiopia wakati wa maadhimisho ya miaka 50 toka kuanzishwa kwa iliyokuwa OAU na baadae AU.Mtayarishaji wa makala haya amezunguza na Dr. Prosper Ngowi mtaalamu wa uchumi toka chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam nchini Tanzania, ambapo anatazama changamoto zilizojitokeza za kiuchumi wakati wa mkutano huu wa kihistoria.

Mkutano wa Umoja wa Afrika AU
Mkutano wa Umoja wa Afrika AU Reuters/Tiksa Negeri
Vipindi vingine