Wimbi la Siasa

Hali tete ya kisiasa nchini Syria

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia hali ya mambo nchini Syria, wakati huu ambapo Umoja wa Ulaya umetangaza kutoongeza mudwa wa kuwawekeza vikwazo waasi, huku Urusi ikiahidi kupeleka silaha zaidi kwa utawala wa Assad.

Wapiganaji wa Syria wakijibu mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Serikali, upinzani nchini humo umeendelea kugawanyika kuhusu vita dhidi ya utawala wa Assad
Wapiganaji wa Syria wakijibu mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Serikali, upinzani nchini humo umeendelea kugawanyika kuhusu vita dhidi ya utawala wa Assad Reuters
Vipindi vingine