Afrika Ya Mashariki

Vijana na ukosefu wa kazi

Sauti 09:23

Makala ya Afrika ya Mashariki wiki hii yanazungumzia ukosefu wa kazi kwa vijana kutoka katika Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati.Kutokana na idadi kubwa ya vijana kusoma na kutokuwa na uwezo wa kuajiriwa vijana haoa wameamua kujiajiri wenyewe na kuanzisha biashara ndogondogo  kama ya usafiri maarufu kama Boda Boda.Ungana na Julian Rubavu kwa mengi zaidi.