Mjadala wa Wiki

Mjadala wa Wiki

Sauti 12:38

Mjadala wa wiki hii leo hii tunajadili siku ya Kimataifa ya kupinga ajira kwa watoto duniani.Ni kwanini suala hili linaendelea barani Afrika ambapo watoto wanaajiriwa badala ya kwenda shuleni ?Ungana na Ali Bilal kwa mengi zaidi.