Gurudumu la Uchumi

Je uchumi wa nchi unaweza ukategemea kodi toka kwenye bidhaa muhimu pekee?

Sauti 08:51
Baadhi ya vinywaji ambavyo vimeongezewa kodi kwenye bajeti za nchi wanachama za Afrika Mashariki
Baadhi ya vinywaji ambavyo vimeongezewa kodi kwenye bajeti za nchi wanachama za Afrika Mashariki RFI

Mtangazaji wa makala hii, juma hili ameangazia madhara yanayotokana na Serikali ambazo zinatoza kodi kubwa kwenye bidhaa muhimu kwa binadamu. Ukanda wa Afrika Mashariki ni moja kati ya maeneo yalioathirika na tatizo hili jambo ambalo limeshuhudia hata maandamano nchini Kenya.Nchini Tanzania kodi ya SIM nayo imezua utata, ungana nami Emmanuel Makundi nikiwa na Dr. Honest Ngowi wa chuo kikuu cha Mzumbe katika kujadili hili.