Mapigano mapya mashariki mwa DRC
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:46
Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia kuzuka kwa mapigano mapya nchini DRC ambapo wanajeshi wa Serikali wanakabiliana na waasi wa M23 ambao walijaribu kuuchukua mji wa Goma.