Gurudumu la Uchumi

Faida ya simu za mkononi katika kukuza maendeleo

Sauti 10:03
images03.olx.in

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia matumizi ya simu za mikononi na mchango wake katika kukuza uchumi na maendeleo ujumla, kwa mengi zaidi fuatilia makala hii iliyoandaliwa na Ali Bilali.