Uelekeo wa Zimbabwe baada ya uchaguzi

Sauti 09:51
Morgan Tsvangirai, Waziri mkuu wa Zimbabwe ambaye anamaliza muda wake katika serikali ya umoja wa kitaifa.
Morgan Tsvangirai, Waziri mkuu wa Zimbabwe ambaye anamaliza muda wake katika serikali ya umoja wa kitaifa. REUTERS/Philimon Bulawayo

Makala ya Wimbi la siasa juma hili inaangazia uelekeo wa Zimbabwe baada ya matokeo ya uchaguzi..dunia nzima imeelekeza macho na masikio nchini humo kushuhudia nini Wazimbabwe wameamua safari hii katika sanduku la kura...!