Robert Mugabe achaguliwa tena Zimbabwe

Sauti 09:58
Rais mteule wa Zimbabwe Robert Mugabe
Rais mteule wa Zimbabwe Robert Mugabe REUTERS/Philimon Bulawayo

Baada ya Rais Robert Mugabe kuchaguliwa tena kuiongoza Zimbabwe, wananchi wa mataifa ya Afrika Mashariki na Kati wamekuwa na maoni mbalimbali, Edmond Lwangi Tcheli amezungumza nao katika makala haya, Fuatana naye ufahamu maoni yao. Karibu