Marekani yafunga baadhi ya Balozi zake Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati kufuatia tishio la Al Qaeda

Sauti 09:33

Katika makala haya leo tunajadili hatua ya Marekani kufunga baadhi ya balozi zake kwenye mataifa ya Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati kufuatia vitisho vya kundi la Al Qaeda kushambulia taifa hilo.