Je majeshi zaidi yanahitajika wakati huu kupambana na Al-Shabab huko Somalia

Sauti 12:04

Mataifa ya Afrika yaliyopeleka wanajeshi wake nchini Somalia kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabab nchini Somalia yametoa wito wa majeshi zaidi kuongezwa ili kuimarisha mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Alshabab.Leo katika mjadala wa wiki tunajadili ikiwa majeshi zaidi yanahitajika kupambana na Al-Shaba ikiwa Umoja wa Afrika unafanikiwa kulitokomza kabisa kundi hilo.Martha Saranga anaongoza mjadala huu. Karibu