Ufadhili wa bwawa la umeme Burundi

Sauti 10:01
AFP/Pierre Andrieu

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia ufadhili wa bwawa la Umeme nchini Burundi ufadhili uliotolewa na benki ya dunia.